TCRA KUANZA USAJILI WA WAMILIKI WA BLOGU, ONLINE FORUMS, REDIO NA TELEVISHENI ZA MTANDAONI LEO APRILI 21
Saturday, April 21, 2018
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imetangaza kuanza zoezi la usajili wa wamiliki wa Blogu, Majukwaa ya Mtandaoni (Online Forums), Redio pamoja na Televisheni za mtandaoni kuanzia leo Jumamosi Aprili 21, 2018.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin