Nakukutanisha na kijana Mawazo kutoka kundi la burudani la msanii wa Nyimbo za asili 'Bhudagala Mwanamalonja'. Mawazo ni kijana ambaye ni mlemavu wa kuongea na kusikia 'Bubu' ana uwezo mkubwa wa kuruka sarakasi. Lakini leo nakualika utazame jinsi anavyocheza na ringi ya baiskeli. Ni balaa mtupu
Tazama hapa chini Mawazo akicheza na ringi wakati wa sherehe za upandaji miti kitaifa hivi karibuni wilayani Kishapu mkoani Shinyanga
Social Plugin