WAZIRI MWAKYEMBE ATEUA MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA MICHEZO MALYA
Friday, April 13, 2018
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha michezo Malya.
Uteuzi huo umetekelezwa kwa mujibu wa sheria ya Na. 9 ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya mwaka 1997 ikisomwa na mwongozo wa uteuzi wa bodi ya uongozi wa vyuo vya elimu ya juu.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin