Video : NYANDA MADIRISHA OBHADO 'MALIGANYA' - SUNGU SUNGU
Sunday, October 10, 2021
Nakualika kutazama video mpya ya msanii wa Nyimbo za asili Nyanda Madirisha'Obhado'Maliganya kutoka Kahama mkoani Shinyanga,ngoma inaitwa Sungu Sungu...Video hii imetengenezwa katika studio za Hardtone Videoz ikiongozwa na Director Manwell.Itazame hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin