Wakazi wa Kigoma wameingiwa na woga baada ya kushuhudia mtu aliyefariki dunia mwaka 2000 kuonekana kwa mara nyingine akiwa hai.
Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma ACP, Martini Ottieno ameelezea tukio hilo la kushangaza nakusema, mtu huyo anafahamika kwa jina la Ntahuruli Ntahije na kwamba alifariki dunia baada ya kuugua ghafla akiwa anafanya kazi za bustani mjini Kgoma, ambapo hadi sasa hapakumbuki tena kwa bosi wake.
Social Plugin