Alhamis ya Juni 28,2018 tumeshuhudia michuano ya Kombe la Dunia 2018 hatua ya makundi ikimalizika kwa Afrika kupoteza timu zote 5 katika hatua ya makundi kutokana na kukosa point za kutosha kuingia hatua ya 16 bora.
Timu 16 zilizofuzu hatua ya 16 bora ni England, Ubelgiji, Argentina, Colombia, Japan, Croatia, Hispania, Ureno, Brazil, Switzerland, Mexico, Ufaransa, Uruguay, Urusi, Denmark na Sweden hatua ya 16 bora itaanza June 30 kwa kwa michezo miwili Argentina vs Ufaransa na Ureno dhidi ya Uruguay.
Social Plugin