Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema kuwa hali ya usalama kwa mkoa huo kwa sasa imezidi kuimarika kutokana na ushirikiano anaopata kutoka kwa wananchi na sio kwa sababu alisema atatoa kipigo kipigo cha mbwa koko.
“Niwashukuru watanzania ambao wametuwezesha kuwa na hali ya ushwari tangu mliposikia kulikuwa na matishio ya maandamano yaliyeyuka, si kwasababu tulisema tutatoa kipigo cha mbwa koko ”-RPC Muroto
Social Plugin