Wakufunzi wa Ujerumani wakishangaa uwanjani
Bingwa mtetezi wa Kombe la Dunia Ujerumani ameondoshwa/ametupwa nje katika mchuano wa kombe la dunia 2018 kwa kukung'utwa bao 2-0 na Korea katika mchezo uliofanyika leo Juni 27,2018.
Korea imelipiza kisasi kufungwa nyumbani 2002, nusu fainali.
Son Heung-min amedunga msumari wa mwisho jeneza la Ujerumani baada ya bao la awali la Kim Young-gwon kukubaliwa.
Social Plugin