Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akitoa nasaha zake kwa viongozi na wafanyakazi wa ARU wakati wa semina ya maswala ya rushwa iliyoendeshwa na Taasisi ya Kupambana na Kuazuia Rushwa (TAKUKURU) chuoni hapo Juni 21 2018. (Imeandaliwa na Robert Okanda)
Sehemu ya viongozi na wafanyakazi wa ARU wakishiriki semina ya maswala ya rushwa iliyoendeshwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) chuoni hapo Juni 21 2018.
Mmoja wa watoa mada kutoka Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Kinondoni Elly Makalla akiwasilisha hoja kwa viongozi na wafanyakazi wa ARU walioshiriki semina ya maswala ya rushwa iliyoendeshwa na taasisi hiyo chuoni hapo Juni 21 2018.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa akifanya mahojiano na waandishi wa habari kuwaelezea umuhimu wa mafunzo ya kupambana na kuzuia Rushwa chuoni hapo.
Sehemu ya viongozi pia wafanyakazi wa ARU wakifuatilia mada kwenye semina ya maswala ya rushwa iliyoendeshwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) chuoni hapo Juni 21 2018.
Sehemu ya viongozi na wafanyakazi wa ARU wakishiriki semina ya maswala ya rushwa iliyoendeshwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) chuoni hapo Juni 21 2018.
Sehemu ya viongozi na wafanyakazi wa ARU wakifuatilia mada kwenye semina ya masuala ya rushwa iliyoendeshwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) chuoni hapo Juni 21 2018.
Sehemu ya viongozi na wafanyakazi wa ARU wakifuatilia mada kwenye semina ya maswala ya rushwa iliyoendeshwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) chuoni hapo Juni 21 2018.
Social Plugin