Pumzika Mahala Pema Mbinguni Comrade DAN MAKANGA-Mbunge Mstaafu na DC.Mstaafu, Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Simiyu- Mimi na wewe tulihudumu kama Wakuu wa Wilaya wakati wa Uongozi wa Rais Kikwete,Usiku wa kuamkia leo Ajali imechukua uhai wako-Pichani waliosimama kulia akiwa amevaa shati la kijani,ni Marehemu Dan Makanga tulipokuwa tunafunga kambi ya kitaaluma kidato cha Sita-Mwezi March Mwaka huu,akiwa na viongozi wa chama na serikali Mkoa wa Simiyu.)-Natoa Pole kwa familiya yake,viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu,ndugu jamaa na Marafiki walioguswa na msiba huu.
Social Plugin