Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wimbo Mpya wa Gospel : EUNICE MALENDE - KUSUDI


Mwimbaji wa nyimbo za injili Eunice Malende kutoka jijini Dar es salaam anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa 'Kusudi'. Sikiliza hapa chini,hakika utabarikiwa sana

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com