Mechi imemalizika ugani Samara: Brazil 2-0 Mexico
Nguvu mpya Fernandinho alimtengeza Neymar, Neymar akafyatua kombora, kipa Guillermo Ochoa akagusa, lakini mwindaji Roberto Firmino hakuchelea kuihakikishia Brazil nafasi yake Robo fainali!
Brazil imeshiriki kila robo fainali tangu 1990.
Mexico haijawahi kuvuka hatua ya mchujo tangu 1986.
Social Plugin