Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu (Kushoto) akimkabidhi ofisi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti leo Jumatatu Agosti 6,2018 - Picha zote na Editha Karlo - Malunde1 blog
Kulia ni Rashid Mwaimu akila kiapo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa leo katika ukumbi wa halmashauri ya Chemba
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akimkabidhi vitendea kazi Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Rashid Mwaimu baada ya kumuapisha
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akisalimiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Mkoa wa Kagera mara baada ya kuripoti kazini leo
Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wa Mkoa wa Kagera wakishuhudia makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu wa Mkoa na kuapishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Rashid Mwaimu
Social Plugin