Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO VYA WATU 11 KWENYE AJALI YA MAGARI MATANO MBEYA JIONI HII


Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 11 vilivyotokea leo jioni mkoani Mbeya katika ajali ya barabarani baada ya lori lililokuwa na shehena ya viazi kuyagonga magari matano likiwemo basi dogo lililokuwa na abiria

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com