Ngoma Mpya ya Asili : BHULEMELA - HARUSI YA SHINJE.....NGOMA KALI SANA ITAZAME HAPA
Friday, September 14, 2018
Nakualika kutazama video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Bhulemela kutoka Kahama mkoani Shinyanga inaitwa Harusi ya Shinje. Ngoma hii kali imetengenezwa katika studio za Lwenge "Lwenge Studio".
Tazama video hii kali hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin