Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Sharmila Bhatt akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kumkaribisha kwa Rotary Club ya Dar es Salaam jijini Septemba 5 2018. (Imeandaliwa na Robert Okanda)
Sehemu ya wana Rotary Club wakishiriki katika hafla ya kumkaribisha District Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda, Sharmila Bhati jijini Dar es Salaam Septemba 5 2018.
Washiriki wakijihudumia kifungua kinywa.
Wana Rotary Club wakitost ishara ya kufunguliwa rasmi kwa hafla hiyo.
Sehemu ya wana Rotary Club wakishiriki katika hafla ya kumkaribisha District Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda, Sharmila Bhatt jijini Dar es Salaam Septemba 5 2018.
Sehemu ya wana Rotary Club wakishiriki katika hafla ya kumkaribisha Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Sharmila Bhatt jijini Dar es Salaam Septemba 5 2018.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Sharmila Bhatt akitoa nasaha zake kwa wana Rotary Club katika hafla ya kumkaribisha iliyofanyika jijini Dar es Salaam Septemba 5 2018.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Sharmila Bhati (kushoto) akipongezwa na washiriki wa hafla hiyo.
Mmoja wa washiriki akijitambulisha.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano wa Rotary Club, Nikki Aggarwal akiwasilisha mchanganuo wa matukio na shughuli zilizofanywa na club kwa washiriki wa hafla hiyo.
Mmoja wa wana Rotary Club, Agnes Batengas akijitambulisha kwenye hafla hiyo.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Shamila Bhatt (wa tatu kulia) akimkabidhi miwani mwakilishi wa Hospitali ya CCBRT, Lydia Kiwelu wakati wa hafla kumkaribisha Gavana huyo kwa Rotary Club ya Dar es Salaam jijini leo, sanjari na msaada huo uliotolewa na Club kwa hospitali hiyo. Kutokea (kushoto) ni Msaidizi wa Gavana, Mohamed Versi, Mwenyekiti wa Tanzania wa Rotary Clubs, Adeline Rutabanzibwa, Rais wa Rotary Club ya Dar e Salaam, Mili Rughani na Mkurugenzi wa Miradi wa club hiyo, Abdulqadir Ahameed.
Mwana Rotary Club Mkongwe, Hamza Kassongo (katikati) akiwatambulisha wageni aliowahalika kwa Club wakati wa hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Rotary Clubs Kanda ya Tanzania, Adeline Rutabanzibwa akijitambulisha kwa washiriki wakati wa hafla hiyo.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda, Sharmila Bhatt (wa pili kulia) akiwa na sehemu ya viongozi wa Rotary Club. Kushoto ni Rais wa Dar es Salaam Rotary Club ya Dar es Salaam, Mili Rughani, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Rotary Club, Nikki Aggarwal na Rotarian Anagha Bhattbhatt.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda, Sharmila Bhatt (mwenye gauni jekundu) akiwa katika picha ya pamoja na wana Rotary Clubs wakati wa kuhitimisha hafla hiyo.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda, Sharmila Bhatt (wa nnea kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Rotaractors wakati wa kuhitimisha hafla hiyo.
Mkurugenzi wa Miradi wa club hiyo, Abdulqadir Ahameed, Rotarian Abdulqadir Ahameed akifafanua shughuli na huduma zilizofanywa na Rotary Club ya Dar es Salaam kwa washiriki wa hafla hiyo.
Sehemu ya Rotaractor walioshiriki hafla hiyo wakifuatialia jambo.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Sharmila Bhatt akipongezwa na Msaidizi wake Mohamed Versi pia Mwenyekiti wa Tanznia wa Rotary Clubs Adeline Rutabanzibwa kwa mambo makubwa aliyofanya na kufikia wadhifa alionao sasa
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Club, Sharmila Bhatt (kushoto) akipokea nembo maalum kutoka kwa Rais wa Dar es Salaam Rotary Club, Mill Rughani wakati wa hafla hiyo.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Sharmila Bhatt akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mweka Hazina wa Rotary Club, Anver Rajpar wakati wa hafla hiyo.
Gavana wa Kanda ya Tanzania na Uganda wa Rotary Clubs, Sharmila Bhatt (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na sehemu ya Rotary Club na Rotaractors wakati wa hafla hiyo.