Manford Mtwango mkazi wa Kitunda Dar es Salaam, alivutiwa na Mojaspesho tu baada ya kusikia matangazo akaamua na yeye ajiingize kwenye hii fursa. Baada ya muda wa miezi minne ya kucheza mpaka kieleweke, kweli kimeeleweka mwezi huu wa tisa.
Manford ni kijana wa miaka 39 tu, ni muajiriwa kwenye hoteli moja kubwa jijini Dar es Salaam ambaye kajishindia mshiko wa papo hapo wa laki tano.
Nawe pia
unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki. Jinsi
ya kucheza Mojaspesho ni rahisi
1. Nenda
kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;
2. Chagua
lipia bili
3. Ingiza
kampuni namba 123255
4. Ingiza
kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE
5. Weka
kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.
Social Plugin