Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MUONEKANO MPYA WA OMMY DIMPOZ BAADA YA KUPATA NAFUU


Msanii wa muziki Bongo, Ommy Dimpoz amekuwa akipatiwa matibabu Afrika Kusini mara dada ya kufanyiwa upasuaji wa koo. Hizi ni picha za mwanzo kabisa za muimbaji huyo tangu alivyopata nafuu.

Picha zote Na George Dufanda

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com