Hassan (22), ni muajirwa katika duka dogo la vyakula lilipo Buguruni kwa Mnyamani, ameshinda shilingi MILIONI 5 kwa 1000 tu, Hassan alipata ushindi kwa kucheza namba zake tatu ambazo ni 293
“Natafuta kiwanja na pesa inayobaki nataka kufungua duka langu. Nangoja bosi wa duka hili arudi, tufanye makabidhiano.” Ameeleza Hassan
Bofya hapa kujua Zaidi : Mojaspesho
Social Plugin