Wimbo Mpya : BEN POL Ft HARMONIZE - WHY
Thursday, September 13, 2018
Msanii wa muziki Bongo, Ben Pol ametoa wimbo wake mpya uitwaoWhy ambao amemshirikisha Harmonize, producer wa wimbo huu ni Sheddy Clever.
Sikiliza wimbo hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin