Watu watano wanadaiwa kupoteza maisha katika ajali ya Gari ndogo, ya Wizara ya Kilimo iliyokuwa imebeba wataalamu wanne pamoja na dereva wote wamefariki papo hapo katika eneo la Njirii Manyoni mkoani Singida leo Jumapili Oktoba 21,2018
.
Inaelezwa kuwa wanaume ni watatu na wanawake wawili.
.
Inaelezwa kuwa wanaume ni watatu na wanawake wawili.
TANZIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anapenda kuwataarifu ya kuwa
Wizara ya Kilimo imepatwa na msiba wa Watumishi wake Watano (5) waliopata ajali
leo asubuhi tarehe 21 Oktoba, 2018 Manyoni mkoani Singida, walipokuwa safarini
kuelekea Mwanza kikazi.
Watumishi hao waliofariki ni;
1. Stella Joram Ossano (39)
2. Esta Tadayo Mutatembwa (36)
3. Abdallah Selemani Mushumbusi (53)
4. Charles Josephat Somi
5. Erasto Mhina (43)
Miili ya marehemu ipo njiani kuja Hospitali ya Mkoa wa
Dodoma leo tarehe 21 Oktoba 2018.
Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Amina🙏🏿
Social Plugin