AJALI:Basi La Kampuni Ya TASHRIFF Limeteketea kwa moto asubuhi ya leo, ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo karibu na kituo cha mafuta kilichopo kange mkoa wa Tanga
katika tukio hilo hakuna abiria aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa.Thamani ya mali zilizoteketea bado haijafahamika.
MALUNDE 1 inaendelea kufatilia tukio hilo na itakuletea habari kamili hapa hapa
Social Plugin