Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa barua maalum ambayo inatoa taarifa kuwa Amber Rutty sio msanii hapa nchini, kwani hatambuliki na hajasajiliwa na Baraza hilo.
Kwa mujibu wa barua hiyo imeelezea kwamba iwapo Amber Rutty atafanya kosa lolote na kuvunja sheria, wahusika watamchukulia hatua stahili na halitajihusisha nae.
Sambamba na hilo barua hiyo imewaasa wasanii wote kufuata maadili na kutovunja shria za nchi, ili kutetea sanaa yao.
Soma hapa
Social Plugin