BREAKING NEWS:MWANAHABARI MWENYE TUHUMA ZA MAUAJI ACHIWA HURU NCHINI KENYA
Tuesday, October 30, 2018
Habari zilizotufkia hivi punde ni kwamba Mwanahabari wa runinga ya Citizen nchini Kenya Jackline Maribe anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani ameachiliwa huru kwa dhamana ya shillingi millioni 1 za Kenya pesa taslimu.
SOURCE:ITV TANZANIA
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin