Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DIAMOND PLATNUMZ,RAYVANNY WAFUNGA MITAA DAR

Wasanii kutokea WCB, Rayvanny na Diamond Platnumz jana Jumapili October 28, walifunga baadhi ya mitaa Posta Dar es Salaam kutokana na utengenezaji wa video ya wimbo wao mpya.

Tukio hilo lilivuta umati mkubwa wa watu licha ya jana kutokuwa ni siku ya kazi kitu kilichopelekea baadhi ya shughuli kusimama kwa muda.

Bila shaka wimbo huo utakuwa wa tatu kwa Diamond Platnumz kumshirikisha Rayvanny baada ya nyimbo kama Salome na Iyena.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com