Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

IGP AWAPA MAAGIZO MAZITO MAKAMANDA WA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro na Makamanda wote Nchini wameagizwa kuchukua hatua za kuwadhibiti baadhi ya maafisa wanaojihusisha na vitendo vya kupokea rushwa, ubambikizaji wa kesi kwa wananchi, kutumia nguvu kupita kiasi pamoja na kutoa huduma hafifu kwa Wananchi.

Tazama Video Kamili Hapo Chini
Credit:Azam Tv

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com