Makubwa Haya : JOGOO ALIYENYONYOLEWA MANYOYA NA KUVISHWA 'HIRIZI' KANASWA STENDI YA MABASI TABORA
Thursday, October 18, 2018
Shuhudia jogoo aliyenyonyolewa manyoya yote akiwa hai na kuzua mshangao katika Stendi ya mabasi mkoani Tabora.
Meneja wa Kituo hicho kaamua kumchukua na kumgeuza kitoweo bila kuogopa hayo mahirizi yake. Tazama apo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin