Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MWALIMU WA SEKONDARI MBARONI KWA KUMWAGIA TINDIKALI MKEWE

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwalimu wa shule ya sekondari Kanazi ya mkoani Kagera, Deogratias Bankana kwa kumwagia tindikali mkewe, Angel Francis kutokana na wivu wa mapenzi. 

Muathirika na mumewe wanaeleza kilichotokea hapo chini
Credit: Azam Tv

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com