Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NECTA: WANAFUNZI WALIOJITOKEZA KUFANYA MITIHANI NI ZAIDI YA TULIOTARAJIA

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema idadi ya wanafunzi waliojitokeza kurudia mtihani wa darasa la saba kwa tarehe 8 na 9 mwezi huu ni zaidi ya idadi iliyotarajiwa na baraza hilo na usimamizi wa sasa uliimarishwa zaidi.

==>>Msikilize Katibu mkuu NECTA akiongea hapo chini

Advertisement

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com