RAIS MAGUFULI AWASHUKURU WATANZANIA KWA KUMTAKIA KHERI KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Tuesday, October 30, 2018
Alichokisema Rais Magufuli baada ya siku yake ya kuzaliwa. “Nimepokea salamu nyingi japo sikuweza kuwajibu wote, lakini muamini kuwa nimezipata.”
Amewataka Watanzania tuendelee kudumisha amani,upendo,mshikamano na kuchapa kazi za kulijenga Taifa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin