Tanzia : MUIGIZAJI MAARUFU WA FUTUHI AFARIKI DUNIA
Saturday, October 27, 2018
Muigizaji na Mchekeshaji maarufu wa kundi la vichekesho la FUTUHI ,Karumekenge amefariki dunia.
Inaelezwa kuwa muigizaji huyo amefariki usiku wa kuamkia leo Jumamosi Oktoba 27,2018 wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Bugando Jijini Mwanza.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin