Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wimbo Mpya : ALIKIBA - HELA

Miezi minne baada ya kufanya poa na Mvumo Wa Radi, Alikiba amerudi tena kwenye masikio na macho yako akiwa na ngoma mpya 'Hela'ambayo inakua ni ngoma yake ya kwanza tangu muimbaji huyo alipotangaza kuanza kujihusisha na Soka huku Coastal Union ya Tanga ikiwa ndiyo Club iliyopata baraka za Mwanamuziki huyo.

Sikiliza Audio hapo chini...

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com