Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BASATA YAKANUSHA KUUFUNGULIA WIMBO WA ‘ NYEGEZI -MWANZA’ WA RAYVANNY NA DIAMOND….YATOA TAMKO ZITO

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa tamko kwa umma, vyombo vya habari na jamii kwa ujumla kuwa halijaufungulia wimbo wa ‘Mwanza’, ulioimbwa na msanii wa WCB, Rayvanny kwa kushirikiana na Diamond Platnumz.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com