Msanii Diamond Platnumz ametoa orodha ya nyimbo 32 atakazoziperform katika tamasha la Wasafi Festival Mtwara.
Msanii huyo ambae alikuwa Dubai alipoenda kufanya Show katika tamasha kubwa la One African Music Festival ambalo walipafomu wasanii wengi sana kutoka Afrika aliporejea aliandika ujumbe huo hapo juu.
Na baada ya muda kidogo aliorodhesha nyimbo atakazo zitumia katika show ya Wasafi Festival ambazo jumla ziko 52 na wimbo wa 52 ambao ni Mwanza akitahadharisha kwamba atautumia hadi pale atakapopewa ruhusa maana umeshafungiwa.
Social Plugin