Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC Jumapili ya November 4 2018 ilifanya mkutano wake mkuu sambamba na uchaguzi mkuu wa mwenyekiti na wajumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa kampuni ya Simba SC ambapo kura zilihesabiwa hadi alfajiri ya November 5 2018.
Simba SC sasa inahesabika kama kampuni baada ya kufanikiwa kuingia katika mfumo wa mabadiliko ya uwekezaji wa hisa, ambapo mfanyabiashara Mohammed Dewji ndio alishinda Zabuni ya uwekezaji ndani ya club ya Simba hivyo maamuzi ya timu hiyo kwa sasa yatakuwa yanajadiliwa ndani ya bodi.
==>>Tazama matokeo hapo chini
Matokeo
Mwenyekiti-Sued Mkwabi kura 1579 kayi ya 1628
Wajumbe:
Asha Baraka. -1180
Hussein Kitta. - 958
Dr Zawadi. - 830
Seleman Harub. -740
Mwina Kaduguda -577
Elia Alfred Martin. -530
Juma Pinto. - 440
Jasmin Soud. - 368
Patrick Rweyemam-349
Abubakar Zebo. -301
Iddi Kajuna. -270
Said Tully. -247
Ally Suru. -217
Chris Mwansasu -186
Hamis Mkoma. -174
Mohamed Wandwi-124
Abdallah Migomba -97
Washindi ni
1. Hussein Kitta
2. Dr. Zawadi
3. Haroub Seleman
4. Mwina Kaduguda
5. Asha Baraka
Social Plugin