Mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yaliyokuwa yamebeba kijiko yameanguka katika eneo la Mazimbu mkoani Morogoro, wakati likitoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma leo Ijumaa, Novemba 9, 2018.
Taarifa zinaarifu kuwa hakuna majeruhi wala kifo vilivyoripotiwa kutokana na ajali hiyo. Endelea kuwa nasi kwa habari zaidi
Social Plugin