RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA...KAMVUA PIA HADHI YA UBALOZI
Thursday, November 08, 2018
Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata.
Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018 .Pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin