Majengo mbalimbali ya Maktaba ya Kisasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambayo imefunguliwa jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Maktaba hio ina uwezo wa kuchukua Wanafunzi 2100 kwa wakati mmoja na uwezo wa kuhifadhi vitabu 800,000 - PICHA NA IKULU
Social Plugin