Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MFAHAMU MWANAUME ANAYEKULA MAYAI NA MAGANDA YAKE


Isaac Nyamwamu amekuwa akila mayai na maganda yake kwa miaka minane sasa.



Mayai ya kuchemsha ni mlo muruwa ambao unaweza kuliwa wakati wowote wa siku. Isaac Nyamwamu,mkaazi wa mtaa wa Roysambu viungani mwa jiji la Nairobi Nchini Kenya amevumbua mbinu ya kupata utamu wote kutoka kwenye mayai.

Nyamwamu anakula mayai na maganda yake. Anasema kuwa kwa miaka minane amekuwa akila mayai namna hiyo.

Chanzo BBC
ZAIDI SOMA<<HAPA>>

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com