Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MHADHARA WA TANO WA MWALIMU NYERERE WAFANYIKA COSTECH JIJINI DAR ES SALAAM


Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu, akitoa mada wakati akifungua Mhadhara wa Tano wa Mwalimu Nyerere uliofanyika Ukumbi wa mikutano wa COSTECH jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Kavazi la Mwalimu Nyerere (NRC), Profesa Issa Shivji, akiongoza Mhadhara huo.
Washiriki wa mhadhara huo. 
Usikivu wakati mada zikitolewa kwenye mhadhara huo.
Mhadhara ukiendelea.
Profesa Prabhat Patnik, akitoa mada.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye mhadhara huo.


Mwenyekiti wa Mhadhara huo, Profesa Saida Yahya akiendesha mhadhara huo.
Dkt. Ng'wanza Kamata akitoa mada kwenye mhadhara huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com