Mkuu wa Mkoa Mwanza Mhe. John Mongella (kushoto) amefanya uzinduzi wa albamu ya Injili ya “Jerusalem Band” kutoka kanisa la EAGT Kiloleli chini ya Mchungaji Dkt. Jacob Mutashi, uliofanyika Novemba 11, 2018 katika ukumbi wa Belmont Fairmont Hotel
Mongella ametumia fursa hiyo kusisitiza suala la maadili katika jamii na kukemea viashiria/ vitendo vya mapenzi ya jinsia moja (ushoga).
Tazama Video hapa chini
NaGeorge Binagi-GB Pazzo
Social Plugin