Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMTEMBELEA FREDRICK SUMAYE NYUMBANI KWAKE NA KUMPA POLE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa leo amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi.

Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com