ANGALIA HAPA MAJINA YA WALIMU WAPYA WALIOAJIRIWA NOVEMBER 2018
الخميس, نوفمبر 08, 2018
Tamisemi wametangaza majina zaidi ya 153 ya walimu wapya walioajiriwa leo November 7 2018, walimu hao wa shule za msingi na sekondari wanatakiwa kuanza kuripoti vituo vyao vya kazi kuanzia tarehe 12 -26 November 2018 Kuangalia majina hayo bofya hapa chini
Social Plugin