Baada ya kuzinduliwa mkoani Mtwara hapo juzi, tamasha la Wasafi Festival litaendelea kuwasha moto kwenye mikoa mingine.
Kwa sasa linaelekea mikoa ya Iringa ambapo litafanyika November 30, 2018 na Morogoro itakuwa ni Desemba 02, 2018.
Tamasha la Wasafi linachukua wasanii wote wa WCB na kushirikisha wengine kama Dully Sykes, Dudu Baya, Khadija Kopa, MoCo, Nikki Mbishi, Ibra Nation, One The Incredible, Stereo na wengineo.
Social Plugin