Baada ya kukaa kimya kwa mwaka mmoja na nusu bila kuachia ngoma, hatimaye Darassa amefanikiwa kurudi kwa kishindo na dude jipya la ACHIA NJIA.
Kwenye wimbo wa Achia Njia, Darassa ametumia staili yake ile ile ya kughani.
Video ya wimbo huu imeongozwa na Justin Campos na mdundo umegongwa na Abba.
Social Plugin