Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel ( kampuni ya Simu ya Airtel ) mara baada ya
kuwasili kwaajili ya mazungumzo , Ikulu Jijini Dar es Salaam, Januari 11,2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo
na mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel ( kampuni ya Simu ya Airtel ) Waziri wa
Katiba na Sheria Profesa Paramagamba John Mwaluko pamoja na mwakilishi kutoka kampuni
ya Bharti Airtel Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel
aliyeambatana na ujumbe wake kutoka kampuni ya Simu ya Airtel pamoja na Waziri
wa Katiba na Sheria Profesa Paramagamba John Kabudi, Gavana wa BOT Profesa
Luoga, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James, Mtendaji mkuu wa
kituo cha Uwekezaji (TIC ) Geoffrey Mwambe
pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL
Mhandisi Omary Nundu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma taarifa ya
majadiliano kutoka kwa mgeni wake Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel
( kampuni ya Simu ya Airtel ) mara baada ya Mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha
ya pamoja na Bw. Sunil Mittal Mwenyekiti wa Bharti Airtel aliyeambatana na
ujumbe wake kutoka kampuni ya Simu ya Airtel pamoja na Waziri wa Katiba na
Sheria Profesa Paramagamba John Kabudi, Gavana wa BOT Profesa Luoga, Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Dotto James, Mtendaji mkuu wa kituo cha
Uwekezaji (TIC) Geoffrey Mwambe pamoja
na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Mhandisi
Omary Nundu, Mara baada ya kumaliza mazungumzo yao,Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari 11,2019.
Mwenyekiti
wa Bharti Airtel (kampuni ya Simu ya Airtel) Bw. Sunil Mittal akizungumza na
Wana habari (hawapo pichani) kuhusu mazungumzo
yao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,
Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wana habari (hawapo pichani)
kuhusu mazungumzo yao na Mwenyekiti wa
Bharti Airtel (kampuni ya Simu ya Airtel) Bw. Sunil Mittal, Ikulu Jijini Dar es
Salaam, Januari 11,2019.
PICHA
NA IKULU
Social Plugin