MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2018 NA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 YAMETANGAZWA.YAANGALIE HAPA CHINI KWA KUBONYEZA LINK
NJIA RAHISI YA KUONA MATOKEO
Watumiaji wengi wa simu za mkononi hata wale wanaotumia computer/laptop hushindwa kuona matokeo kutokana na jinsi yalivyopangiliwa.
Malunde1 blog tupo kwa ajili ya kukuhudumia.
Kama unatumia simu
1.Fungua link ya matokeo
2.Angalia juu kulia kwenye simu yako,utaona vidoti vitatu
3.Bonyeza penye vidoti utaona sehemu imeandikwa Find in page
4.Bonyeza palipoandikwa Find in page utaona sehemu ya kuandikia...kisha andika jina la Shule unayotaka...kiulaini kabisa utaona unachokitaka.
Kama unatumia Computer/Laptop
1.Fungua link ya matokeo
2. Shikilia palipoandikwa CTRL na F
3.Utaona kibox ambapo utaandika jina la shule unayotaka
Pakua App mpya ya Malunde 1 blog imeboreshwa zaidi ili kukidhi mahitaji ya wasomaji wetu. Hii ndiyo mpya kabisa,ina alama hii ↡↡
Social Plugin