DAKIKA 90 SIMBA, MALINDI HAKUNA MBABE...SIMBA WATOBOA KWA PENATI 3-1
Friday, January 11, 2019
Dakika 90 za Mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Simba na Malindi katika kombe la Mapinduzi zimemalizika haku na na aliyeona lango la mwenzake katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Baada ya timu zote kutunishiana misuli,wameenda kwenye mikwaju ya penati ambapo Simba wamepata mabao 3 huku Malindi FC wakipata bao 1. Simba SC wametinga Fainali watakipiga na Azam Fc siku ya Jumapili Januari 13,2019 katika mchezo wa fainali.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin