Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 30,2019 amemteua Dkt. Islam Seif Salum Mchenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu ( Deep Sea Fishing Authority - DSFA) na Dkt. Emmanuel Andrew Sweke kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu ( Deep Sea Fishing Authority - DSFA),Profesa Sebastian W. Chenyabuga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo, Profesa Justinian Rwezaula Ikingura kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania.
Soma Taarifa kutoka Ikulu hapa chini
Soma Taarifa kutoka Ikulu hapa chini
Social Plugin