Wimbo mpya wa Gospel : DOREEN LIFARD - NIONGOZWE NAWE
Saturday, January 19, 2019
MWIMBAJI Wa Nyimbo za Injili, Doreen Lifard anakukaribisha Weekend hii ujumuike naye katika kumtukuza Mwenyezi Mungu kupitia Wimbo wake Uitwao Niongozwe Nawe. Utazame Hapo chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin